Msanii wa nguli wa nyimbo za asili Afrika Mashariki na Kati Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoani Mara anayeimba kwa lugha ya Kisukuma leo Jumamosi Julai 1,2017 amefanya show babu kubwa katika uwanja wa ngoma kijiji cha Mwakitolyo Shinyanga Vijijini.Nimekuwekea hapa baadhi ya picha,ni balaa mtupu maelfu wajitokeza kupata burudani ya asili.
Bhudagala Mwanamalonja akiimba
Maelfu ya wakazi wa Shinyanga wakishuhudia burudani
Wananchi wakiwa eneo la burudani
Bhudagala Mwanamalonja akipiga picha na mashabiki wake
TAZAMA HAPA VIDEO MASHABIKI WA BHUDAGALA WAKIGOMBANIA KUPIGA NAYE PICHA
Social Plugin