Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akiwaonyesha waandishi wa habari simu aina ya Motorola MotoE+ na Moto E ambazo zipo sokoni kwenye maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar Es Salaam leo.Pichani kushoto ni Meneja wa Vifaa vya intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga na Christina Julius wa Motorola.
Mtoa huduma wa kampuni ya simu za Motorola, Dalha Suleiman akiongea na wateja waliokuja kwenye banda Tigo kwenye maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar es Salaam leo.

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akifafanua jambo kwa waandishi wa habari simu aina ya Motorola MotoE+ na Moto E ambazo zipo sokoni kwenye maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar Es Salaam leo.Pichani kushoto ni Meneja wa Vifaa vya intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga na Christina Julius wa Motorola.
Waandishi wakichukua matukio wakati wa kutambulisha simu aina ya motorola
Social Plugin