Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TIGO YAPATA TUZO YA KIPENGELE CHA MAWASILIANO KATIKA MAONESHO YA SABASABA


Rais John Magufuli akimkabidhi Tuzo ya ushindi wa kipengele cha mawasiliano ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa sabasaba 2017 kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles 
Mwijage.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com