Siku 20 baada ya Diamond Platnumz kuachia video zake mbili mpya ya ‘Fire’ aliyomshirikisha muimbaji wa Nigeria Tiwa Savage na ‘I Miss You’, Julai 10 2017 ameamua kuachia video nyingine mpya ya wimbo wake mpya wa ‘Eneka ambao aliuachia kwa kushitukiza.
Itazame hapa chini