Video Mpya: MAGEMBE ABILI Ft ERICK MCHEKESHAJI - WELELO NAMBILIJAGE
Monday, July 17, 2017
Ninayo Video mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Magembe Abili amemshirikisha Mchekeshaji maarufu Erick wimbo unaitwa Welelo Nambilijage.Video hii imetengenezwa Kalunde studio ya Magu mkoani Mwanza.
Tazama video hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin