Kama kawaida ya Malunde1 blog kukusogezea ngoma kali za asili na wasanii wa nyimbo za asili...Leo tunakukutanisha na msanii Jisambho kutoka Didia Shinyanga Vijijini, anayeimba kwa lugha ya Kisukuma wimbo unaitwa Tosomishe akiwa na maana ya "Tusomeshe"..Kamgusa rais John Pombe Magufuli.
Video hii imetengenezwa Angel Studio Recording ya mjini Kahama ikiongozwa na Masesa anayepatikana kwa simu namba 0768 075 400
TAZAMA NGOMA HII KALI HAPA CHINI
Social Plugin