Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : NYAKABAYA - BHAFUMU....VIUNO BALAA,WEKA MBALI NA WATOTO

Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Nyakabaya inaitwa Bhafumu.  Ni ngoma kali ya asili inayoelezea namna waganga feki wa kienyeji wanavyofanya matukio ya ajabu kwa wateja wao.

Itazame hapa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com