Video Mpya : BHUDAGALA MWANA MALONJA - BHANA BHANE
Sunday, December 31, 2017
Habari njema kwa wapenzi wa nyimbo za asili!! Msanii wa nyimbo za asili Bhudagala Mwana Malonja ameachia ngoma mpya mwaka 2017.Tunakualika kutazama Video ya Bhudagala Mwana Malonja inaitwa "Bhana Bhane".Ni ngoma kali balaa ya asili.
Tazama Video ya Bhana Bhane kutoka kwa Bhudagala Mwana Malonja Hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin