Live : TAZAMA HAPA MUBASHARA MATUKIO YANAYOJIRI UCHAGUZI MKUU KENYA 2017
Tuesday, August 08, 2017
Leo Agosti 8, 2017, wananchi Kenya wanapiga kura kumchagua Rais atakaye iongoza nchi hiyo.
Tazama hapa moja kwa moja kutoka nchini Kenya kufahamu yote yanayojiri muda huu katika zoezi la upigaji kura ambapo Rais wa sasa Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ndiyo wagombea wakuu wa kiti hicho. TAZAMA HAPA CHINI
Social Plugin