Ligi kuu ya Vodacom imefunguliwa leo Agosti 26 ,2017 kwa kuchezwa micheozo saba katika viwanja mbalimbali.
Yafuatayo ni matokeo ya mechi zote saba za leo
1.Simba 7-0 Ruvu shooting
2.Mwadui 2-1 Singida United
3. Ndanda 0- 1 Azam -
4.Kagera sugar 0-1 Mbao
5.Njombe Mji 0-2 Tanzania Prisons
6.Mbeya City 1-0 Majimaji
7. Mtibwa 1-0 Stand United
Kesho
jumapili Agosti 27,2017 kutakuwa na mechi moja,Yanga watavaana na
Lipuli.Mchezo utachezwa katika uwanja wa Uhuru Dar es salam saa kumi
jioni
Social Plugin