News Alert: SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA KAZI 789 LEO AUGUST 24,2017..CHAGUA HAPA UNAYOTAKA
Thursday, August 24, 2017
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri katika Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi za Umma mbalimbali Serikalini, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 789.
Social Plugin