Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Ngoma Mpya : NYANDA MAKOYE - BHABYAJI



Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Makoye kutoka Chibuji, Hungumalwa mkoani Mwanza ametualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa Bhabyaji umetengenezwa katika Ayub Records studio ya Hungumalwa. Sikiliza hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com