Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kanda ya ziwa, Ally Maswanya akizungumza na wanahabari na wananchi kabla ya kukata utepe wa uzinduzi wa kisima mapema mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mbunge wa Rorya- Lameck Airo akipampu maji wakati wa sherehe za uzinduzi wa kisima chenye thamni ya
Tsh.18/- milioni kilichodhaminiwa na kampuni ya Tigo.
Mkuu wa wilaya Rorya- Samson Chacha akitwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Nyasoro, Penina Bailes
Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kanda ya ziwa,Ally Maswanya,akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi wa Kijiji cha Nyasoro kata ya Bukwe halmashauri ya wilaya ya Rorya mkoani Mara,Patero Opiyo mara baada ya uzinduzi wa kisima kilichochibwa kwa udhamini wa Tigo chenye thamani ya Tsh.18/- milioni
Mbunge wa Rorya- Lameck Airo akizungumza na wanahabari na wananchi kabla ya kukata utepe wa uzinduzi wa kisima
Wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kisima.
Social Plugin