TIGO YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 113 WA PROMOSHENI YA TIGO JAZA UJAZWE UJAZIWE ZAIDI


Meneja Biashara wa Tigo, Suleiman Bushagama akimkabidhi simu aina ya Tecno S1, Ally Mwaisemba, mmoja kati ya washindi 113 wa promosheni ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe Zaidi jijini Dar Es Salaam leo. Jumla ya washindi 219 wamejishindia simu hizo nchi nzima.

Meneja Biashara wa Tigo, Suleiman Bushagama akimkabidhi simu aina ya Tecno S1, Ally Mwaisemba, mmoja kati ya washindi 113 wa promosheni ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe Zaidi jijini Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi 219 wamejishindia simu hizo nchi nzima.
Meneja Biashara wa Tigo, Suleiman Bushagama akimkabidhi simu aina ya Tecno S1, Godfather Masawe, mmoja kati ya washindi 113 wa promosheni ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe Zaidi jijini Dar Es Salaam leo. Jumla ya washindi 219 wamejishindia simu hizo nchi nzima.
Meneja Biashara wa Tigo, Suleiman Bushagama akimkabidhi simu aina ya Tecno S1, Justina Lyimo, mmoja kati ya washindi 113 wa promosheni ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe Zaidi jijini Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi 219 wamejishindia simu hizo nchi nzima. 
Meneja Biashara wa Tigo, Suleiman Bushagama akimkabidhi simu aina ya Tecno S1, Zawadi Koli, mmoja kati ya washindi 113 wa promosheni ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe Zaidi jijini Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi 219 wamejishindia simu hizo nchi nzima.
Meneja Biashara wa Tigo, Suleiman Bushagama akimkabidhi simu aina ya Tecno S1, Zawadi Koli, mmoja kati ya washindi 113 wa promosheni ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe Zaidi jijini Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi 219 wamejishindia simu hizo nchi nzima.
Washindi wa promesheni ya Tigo Jaza Ujazwe Ujaziwe Zaidi wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao za simu aina ya Tecno S1. Jumla ya washindi 219 wamejishindia simu hizo nchi nzima

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post