Updates : FUATILIA HAPA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU KENYA 2017 - KENYA GENERAL ELECTIONS 2017 – RESULTS
الأربعاء, أغسطس 09, 2017
Wakenya leo wamefanya uchaguzi mkuu kuchagua viongozi mbalimbali akiwemo rais atayeongoza nchi hiyo.Malunde1 blog inafuatilia kwa ukaribu matukio yanayoendelea nchini Kenya.Hivi sasa zoezi la kuhesabu kura linaendelea, Bofya hapa chini official link ya IEBC kufuatilia matokeo ya uchaguzi yanayotolewa na tume ya uchaguzi.
Social Plugin