Ninayo hapa video ya Mayunga Maduhu maarufu Master Man akimshirikisha Mkapo Kapo inaitwa ‘Mauaji ya Albino’.Hawa ni vijana wenye ualbino kutoka kundi la Tumaini Crew wanaotoka mikoa ya Shinyanga na Simiyu wanaodhaminiwa na Shirika la Shade Tanzania linafanya shughuli zake katika manispaa ya Shinyanga.
Mbali na kujihusisha na Muziki vijana hawa wanazalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo sabuni za aina zote,batiki na bidhaa za ufundi.
Tumia dakika zako chache kutazama video hii hapa chini
Social Plugin