Video Mpya: MSANII MDOGO KULIKO WOTE WA NYIMBO ZA ASILI,LEMI - BHAKOLILWE
Sunday, September 24, 2017
Malunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya Msanii wa nyimbo za asili mdogo kuliko wote kanda ya ziwa Lemi kutoka Bariadi mkoani Simiyu akimshirikia Masong'we wimbo unaitwa Bhakolilwe.Video hii imetengenezwa Bujiku Faster Studio 'BFaster Production' ya Bariadi mkoani Simiyu
Tazama video hii hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin