Ninayo hapa video mpya ya Msanii wa Nyimbo za Asili Nyanda Madirisha Wabhado "Nyanda Maliganya' inaitwa Yamuwelelo. huyu pia ni mdogo wake na marehemu Msanii Nyanda Madirisha 'The Super Star' aliyefariki dunia mwaka 2016 wakati akijiandaa kufanya show mkoani Simiyu.
Baada ya kifo cha Nyanda Madirisha ,wadogo zake ambao ni Nyanda Maliganya na Nyanda Nchaina waliamua kurithi mitindo ya uimbaji wa kaka yao Nyanda Madirisha.
Tazama hapa chini Video hii ya Nyanda Maliganya 'Nyanda Madirisha Wabhado' inaitwa Yamuwelelo
Social Plugin