Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wasukuma Mpoo : HII HAPA NGOMA MPYA MSANII KEMA HEWA - ULEVI


Umenifikia wimbo huu mpya wa Msanii Kema Hewa kutoka Nyamilangano -Ushetu wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga inaitwa Ulevi. Inahusu madhara ya ulevi ikiwemo kushindwa kupeleka watoto shule.Wasiliana na Kema Hewa kwa simu namba 0685 190 850.

Sikiliza ngoma hii hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com