Ninayo hapa ngoma mpya ya asili ya Kulwa Simon amemshirikisha Best Nassoinaitwa 'Mila',yupo pia Mchekeshaji Erick.Wimbo unahusu masuala ya 'Kuchaguliwa Mchumba wa Wazazi'.
Tazama ngoma hii hapa chini,weka mbali na watoto kuna viuno vya hatari
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin