Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NYALANDU AOMBA KUMSAFIRISHA TUNDU LISSU KWENDA KUTIBIWA MAREKANI

Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameweka kambi nchini Kenya kuangalia uwezekano wa kupata ruhusa kutoka kwa madaktari ya kumsafirisha Mh Tundu Lissu kwenda Marekani kwa ajili ya matibabu zaidi baada kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana.


Nyalandu amedai ni siku ya tatu bado hajapata ripoti inayoonyesha maendeleo ya mgonjwa huyo ili waangalie kama wanaweza kwenda nchini Marekani kwa ajili ya matibabu zaidi.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com