Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Roma Mkatoliki na Stamina(Rostam) wakitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana.
Meneja wa Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi Tigo kanda ya Ziwa Edgar Mapande,akizungumza na waandishi wa habari, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye uzinduzi wa tamsha la Tigo Fiesta.
Fareed Kubanda "Fid q akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Karume mkoani Mara.
Jux akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Musoma Katinka jukwaa la Tigo Fiesta
Mr Blue naye alikuwa katika list ya wasanii walitoa burudani katika jukwaa la Tigo Fiesta.
Nandy akitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta mapema jana katika uwanja wa karume Mkoani Mara.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa(aliyevaa koti la suti) akizindua tamasha la Tigo Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa(aliyevaa koti la suti) akicheza mziki wakati wa uzinduzi wa tamasha la Tigo Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoani humo.
Msanii wa nyimbo za asili Saida Karoli, akitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Tigo Fiesta.
Msanii wa nyimbo za kitamaduni Saida Karoli, akitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Tigo Fiesta.
Weusi wakitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta.
Chege akilishambulia jukwaa la tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo mjini Musoma
Wakazi wa Musoma mjini na maeneo ya jirani wakifurahia burudani ya tamasha la Tigo Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mkoani Mara.
Social Plugin