Meneja vipindi wa Kahama fm (program manager)
William Bundala (Kijukuu cha bibi k) akitoa ufafanuzi wa malengo ya sherehe
hiyo pamoja na kuongoza sherehe hiyo.Lengo la sherehe hiyo ni kumaliza Bonanza la Michezo la Kahama fm lililoisha siku ya Jumamosi na kutambulisha mikoa mipya ambako Kahama fm itaanza kusikika mwaka huu
Baadhi ya wadau na wasikilizaji wa Kahama
fm,wakiwa katika viwanja vya Kahama Fm ambapo sherehe hiyo imefanyika.
Familia za ndugu na jamaa amabo ni wadau wa
Kahama Fm wakiwa katika sherehe hiyo.
Mwonekano Wa Ukumbi Wa Sherehe Katika Viwanja
Vya Kahama Fm Jana
Dj Rammy kutoka Kahama Fm akiendelea kufanya yake katika sherehe hiyo
Meza ya meneja wa radio akiwa na baadhi ya wadau wa kahama fm ambao
walihudhuria sherehe hiyo.
Wadau na marafiki wa Kahama Fm,wakiwa katika
sherehe hiyo.
Mkurugenzi wa Kahama Fm,James Lembeli kushoto
akiwa na mwanasiasa maarufu Khamis Mgeja kulia.
Meneja wa Kahama Fm Hussen Mipawa akitoa
historia ya radio na kutoa ufafanuzi wa namna walivyojipanga kwenda mikoa kumi.
Mkurugenzi wa Kahama Fm James Lembeli mwenye
nywele nyeupe akiwa na baadhi ya viongozi wa siasa,taasisi na serikali.
Baadhi ya wadau na wasikilizaji wa Kahama fm
wakiwa katika sherehe hiyo.
Mkurugenzi wa Kahama fm James Lembeli akiwa na
vijana wake mchana wakichoma mbuzi na kula
Maandalizi ya mchana,Kijukuu akiwa na Msanii
Hammer Q
Mzee Lembeli akiwa na vijana wake wakionja nyama
baada ya kuchoma.
Msanii Hammer Q akitumbuiza katika sherehe
hiyo,pembeni ni amina mbwambo mtangazaji wa Kahama Fm akicheza na kumtunza.
Harmmer Q akizidi kutumbuiza.
Mwenyekiti wa mtaa wa Majengo Mama Merry Thumuni
ambaye pia ni mwinjilisti akiomba kabla ya kuanza sherehe hiyo.
Wafanyakazi wa Kahama fm wakiwa katika
utambulisho.
Kushoto ni production manager wa Kahama fm
Bakari Khalid akiwa na mshauri wa radio Mzee Noel Thomas.
Mshauri wa radio mzee Noel Thomas
akijitambulisha mbele ya wageni waalikwa.
Kushoto ni mwandaaji wa kipindi cha hali halisi
na michezo Samweli Nyahongo,katikati ni Brand Meneja wa kipindi cha Raha ya Leo
Neema Mghen na kulia ni mhasibu wa radio Veronica Mbise.
Kulia ni Leonard yupo idara ya usafiri Kahama
fm.
Katikati ni Ndalike Sonda dawati la habari la Kahama
fm
Watangazaji wa Kahama fm,wakiwa katika tukio la
kutambulishwa.
Afisa utawala wa Kahama fm,George Simba
akijitambulisha mbele ya wageni waalikwa.
Kushoto ni Alan Kabasele katikati ni Faraji
Mfinanga na kulia ni Bakari Khalidi.
Mtangazaji wa kipindi cha michezo Philipo Chimi
(Fundiiiiiiiiiiii) akijitambulisha.
Mtangazaji wa kipindi cha hali halisi na meza ya
jamii Salvatory Celvin akijitambulisha.
Mtangazaji wa kipindi cha Ladha nyuzi 360 show
kali ya bongo fleva Ally Tz akijitambulisha.
Anaitwa Alan Kabasele ya Mpanya akijitambulisha.
Mtangazaji Samweli Nyahongo akijitambulisha.
Anaitwa Neema Mghen (Mama Digala) Brand manager
wa kipindi cha Raha ya Leo akijitambulisha.
Anaitwa Lilian Katabaro (Mama wa Upako)
mtangazaji wa kipindi cha Zabibu za injili akijitambulisha.
Anaitwa Paulina Juma (super star) mtangazaji wa
kipindi cha Watoto na hali halisi akijitambulisha.
Anaitwa Merry kitengo cha mapokezi
akijitambulisha.
Anaitwa Agnes Julius secretary wa Kahama fm
akijitambulisha.
Mama wa Vidole juu ,anaitwa Amina Mbwambo
mtangazaji wa kipindi cha Ukurasa mpya pamoja na Nakshi nakshi za pwani
akijitambulisha.
Mtangazaji wa Kipindi cha Michezo Omary Mubaraka
(Dr Muba) akijitambulisha.
Kutoka Dawati la michezo anaitwa Simon Dioniz (Mzee
wa mambo magumu) akijitambulisha.
Msaidizi wa ofisi ya mkurugenzi anaitwa Abduli
Walid Ntaokaja akijitambulisha.
Mtangazaji wa Kipindi cha Reggae na Raha ya leo
Daniel Magwina (Koboko) akijitambulisha.
Dj Rammy akijitambulisha kwa kusugua mashine
katika sherehe hiyo.
Wafanyakazi wa Halotel tawi la Kahama mjini na Ushetu
wakijitambulisha na kutoa maelezo ya huduma zao wanazotoa.
Mtangazaji wa Kahama fm Dr Muba akionyesha
ufundi wake wa kuimba na kupiga kinanda katika sherehe hiyo.
Msaidizi wa mkurugenzi wa Kahama fm akiwa na familia
yake katika hafla hiyo.
Meneja vipindi wa Kahama fm,William Bundala (Kijukuu
cha bibi k) akitoa maelezo kuhusu uboreshaji wa matangazo na usikivu wa radio
kuelekea mikoa 10 Tanzania bara.
Mtoto wa pili wa mkurugenzi wa radio anaitwa
Wizilya Lembeli akiimba live wimbo wa malaika.
Wageni waalikwa kutoka Bulugwa halmashauri ya Ushetu
wakiwa katika sherehe hiyo.
Wageni wakiendelea kufurahia usiku wa Kahama fm
katika viwanja vya radio Kahama Nyahanga.
Usiku ulikuwa mzuri sana kwa ndugu jamaa na
marafiki wote waliofika katika sherehe hiyo.
Mkurugenzi wa Kahama fm akiwa na baadhi ya
wageni katika usiku tulivu wa sherehe ya Kahama fm.
Wadau wakiendelea kufurahia
Mzee Lembeli akienda mbele kutoa maneno ya
shukrani na kutambulisha rasmi kupanuka kwa masafa ya radio kwenda mikoa 10.
Wadau wakisikiliza kwa makini hotuba ya mzee Lembeli.
Kushoto ni Ndalike Sonda,katikati ni Faraji Mfinanga
(sub editor na kulia ni Dj Rammy wakiweka mitambo sawa kurusha live matangazo
hayo.
Mkurugenzi wa Kahama fm,James Lembeli akitoa
hotuba yake na kutoa shukrani kwa wageni waalikwa.
Picha zote kwa hisani ya Kijukuu blog