Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TIGO BIASHARA YAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WAKUBWA KUZINDUA HUDUMA NA BIDHAA MPYA


Kaimu Meneja Mkuu wa Tigo, Simon Karikari akielezea jambo katika mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa huduma mpya za Tigo Business zinazowasadia wafanyabiasahra kuongeza ufanisi wa kazi zao. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Hugh Sonn. 
Afisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Hugh Sonn akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari kuzindua huduma mpya za Tigo Business zinazowasaidia wafanyabiashara kurahisisha mawasiliano na kuongeza ufanisi wa biashara zao. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Simon Karikari. 
Meneja wa Biashara wa Tigo, David Sekwao akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari kuzindua huduma mpya za Tigo Business zinazowasaidia wafanyabiashara kurahisisha mawasiliano na kuongeza ufanisi wa biashara zao. Kushoto ni Mkuu wa Mauzo wa Tigo, Kadambara Maita. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com