Malunde1 blog inakualika kusikiliza wimbo wa msanii wa nyimbo za asili Kema Hewa kutoka Ushetu Kahama mkoa wa Shinyanga amemshirikisha msanii Minzi Ga Ndama katika wimbo unaitwa Ukimwi.Wimbo huu uliotengenezwa Angel Studios una ujumbe mzito kuhusu ugonjwa wa Ukimwi.
Sikiliza hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin