Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga (Mwenye miwani) akiwaongoza Maafisa wa Benki ya Azania waliofika katika Hosptali hiyo kwa ajili ya kukabidhi msaada katika Juma la utoaji elimu ya Saratani.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe akikabidhi msaada wa vinywaji baridi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga kwa ajili ya wiki ya utoaji elimu ya Elimu juu ya ugonjwa wa Saratani pamoja na uchunguzi.wengine kulia ni ,Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali hiyo,Dkt Furaha Silventi na Afisa Mipango-KCMC,Kiula Kiula na kushoto ni Maafisa waandamizi Benki ya Azania kanda ya Kaskazin, Ali Duru na Caroline Mugendi .
Sehemu ya Msaada wa vinywaji baridi uliotolewa na Benki ya Azania .
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt ,Giliard Masenga akikabidhi msaada huo kwa Mkuu wa Kitengo cha Saratani- KCMC Dkt Furaha Silventi.
Maofisa Waandamizi wa Benki ya Azania kanda ya Kaskazini na Viongozi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC wakiwa katika picha ya pamoja bara baada ya kukabidhiwa msaada wa vinywaji baridi.
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akizungumza mara baada ya kupokea msaada huo.
CMC,Dkt Furaha Silventi akizungumza jambo na Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi.Hajira Mmambe.
Baadhi ya washiriki wa Semina inayoendelea katika ukumbi mdogo wa kitengo cha Saratani inayohusu utoaji wa elimu juu ya Saratani.
Meneja wa Azania Bank ,tawi la Moshi ,Hajira Mmambe akizungungumza na washiriki wa Semina hiyo mara baada ya kuhitimisha zoezi la kutoa msaada.
Maafisa waandamizi wa Benki ya Azania kanda ya Kaskazini wakitembelea maeneo mbalimbali ya kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC.
Na Dixo Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.
Social Plugin