Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HAYA HAPA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA MZUNGUKO WA SABA

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imeendelea tena leo Jumamosi  Oktoba 21, 2017 kwa michezo sita ya mzungukowa saba katika viwanja mbalimbali. matokeo ya mechi zote za leo ni haya hapa chini

Simba 4-0 Njombe Mji

Mbao Fc 0-0 Azam Fc

Mbeya City 2-0 Ruvu Shooting

Lipuli Fc 1-0 Majimaji

Mtibwa Sugar 1-0 Tanzania Prisons

Ndanda Fc 0-0 Singida United

Kesho Jumapili kutakuwa na mechi moja ya kukamilisha mzunguko wa saba ambapo Stand United itacheza na Yanga katika uwanja wa Kambarage Shinyanga

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com