Wanafunzi wa waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2017 shule ya msingi Sunset
**
Shule ya Sunset iliyopo katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga imeongoza kati ya shule 36 za halmashauri hiyo kwenye matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2017 pia imeongoza kimkoa kati ya shule 231 na kitaifa imeshika nafasi ya 10 kati ya shule 6839.
Jumla ya wanafunzi waliosajiliwa kufanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2017 walikuwa 25 na waliofanya mtihani huo 25 wastani wa shule 222.6400
Social Plugin