Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MVUA YAUA WATU WANNE DAR

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema watu wanne wamefariki dunia kufuatia mvua kubwa iliyonyesha  kwa muda wa saa 26 katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam


"Jana tulipokea taarifa za watu wawili leo Ijumaa asubuhi tumepokea taarifa za watu wawili tena hivyo mpaka sasa tuna idadi ya watu wanne," amesema.

Amesema bado wanaendelea kukusanya taarifa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com