Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAMASHA LA TIGO FIESTA LAPOKELEWA KWA SHANGWE SUMBAWANGA


Aslay akiwa jukwaani akiburudisha wakazi wa Sumbawanga kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia Jumapili
Mashabiki wakiimba pamoja na Aslay. 
Msanii Barnaba akiwa jukwaani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga 
Benpol akitumbuiza wakazi wa Sumbawanga jukwaani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja
wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga 
Wasanii Chege na Aslay wakiwa jukwaani wakiimba pamoja
kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga
Mimi Mars naye aliburudisha maelfu ya wakazi wa Sumbawanga usiku wa kuamkia Jumapili katika tamasha la Tigo Fiesta. 
Wasanii Roma Mkatoliki na Stamina (ROSTAM) wakiwa jukwaani wakiimba pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com