Majaji wakijadiliana jambo.
Top 6 walioingia kwenye mchujo
Mshindi wa Tigo Fiesta SupaNyota 2017 mkoani Rukwa , Ze Battle 16 akifanya yake kwenye steji.
Meneja Biashara na Masoko Tigo nyanda za juu kusini, Oliver Baltazar akishuhudia mshindi wa Tigo fiesta supanyota mkoani Rukwa, Ze Battle 16 akipongezwa na mshindi wa pili, Ambrose mara baada ya kumtangaza mshindi. Kushoto ni Meneja Mauzo Tigo mkoa Rukwa Francis Ndada
Majaji wa Tigo Fiesta Supa Nyota wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi aliyepatikana mkoani Rukwa, Ze Battle 16.
Social Plugin