Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari (Kulia) akichangia mada wakati wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam, kushoto ni mkurugenzi wa 361 Degrees Mustafa Hassanali.
Washiriki wa mkutano wa kutangaza matokeo ya makampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini wakifurahia jambo , ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari (Kulia) akichangia mada wakati wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam, kushoto ni mkurugenzi wa 361 Degrees Mustafa Hassanali.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari akifurahi jambo na mmoja wa washiriki wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam.
Social Plugin