Breaking News : RAIS MAGUFULI AWAFUKUZA KAZI WAKURUGENZI WA MANISPAA YA BUKOBA NA BUKOBA VIJIJINI
Monday, November 06, 2017
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba bwana Erato Aron Mfugale na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba Vijijini Bi Mwantum Kitwana Dau.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin