CHADEMA WAJITOA KWENYE UCHAGUZI WA UDIWANI KATA TANO





Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameagiza wagombea wote wa udiwani wajitoe kwenye uchaguzi wa kata tano Arumeru Mashariki, mawakala na viongozi wote watoke vituoni.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili alisema tayari amewasiliana pia na Tume ya Uchaguzi kwa kuwa Arumeru siyo uchaguzi ni vurugu watu wanatekwa kama Mbunge wa Babati Mjini, Paulina Gekul hadi sasa ametekwa na hajulikani alipo.

Kutokana na hali hiyo Mbowe ametaka Tume ya Uchaguzi kuitisha uchaguzi mpya.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post