Wajumbe kutoka Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita/Living Green) wakiwa na furaha baada ya kulakiwa na wenyeji wao walipowasili hivi karibuni katika Jiji la Bangkok, Thailand tayari kwa ziara ya utalii wa kilimo cha kisasa na ufugaji pamoja na fursa la biashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Adam Ngamange (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mtandao huo, Dk. Kissui S. Kissui wakiwawsili kwenye uwanja wa ndege jijini Bangkoko, Thailand
Wakiwa na wenyeji wao
Wakiwa kwenye mkutano
wakati wa maakuli
Social Plugin