Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema wilaya ya Shinyanga Mjini Samson Ng’wagi ambaye alikuwa Kampeni Meneja wa Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi leo Alhamis Novemba 23,2017 amezungumza na vyombo vya habari mjini Shinyanga.
Ng'wagi ametoa tamko la BAVICHA wilaya ya Shinyanga Mjini akijibu tuhuma za aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Patrobas Katambi aliyehamia CCM.
Katika hotuba yake, Ng’wagi ameeleza harakati za Katambi kuhamia CCM lakini pia amefunguka kuhusu David Kafulila kuhamia CCM.
NIMEKUWEKEA VIDEO HAPA CHINI NG'WAGI AKIFUNGUKA MAZITO KUHUSU KATAMBI NA KAFULILA
Social Plugin