Kama kawaida ya Malunde1 blog kukuweka karibu na wasanii wa nyimbo za asili..Leo tunakualika kutazama video mpya na kali sana ya Mama Ushauri 'Ng'ombe Bhulaya', Full Melody Classic kutoka Tinde Shinyanga,wimbo unaitwa Sabina.
Video imetengenezwa katika studio za Asili Yetu Africa,video imeongozwa na Gooder na Mong.
TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI
Social Plugin