Malunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Nyanda Lunduma amemshirikisha Kidomela wimbo unaitwa Wajasiriamali. Video hii inayohusu ujasiriamali na nidhamu katika mikopo,imetengenezwa studio za Kalunde Media zilizopo mkoani Mwanza.
Bonyeza hapa chini kutazama video hii
Social Plugin