Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video : NGOMA MPYA YA KISUKUMA YA LANDU HAMIS - DUNIA MZUNGUKO....NI BALAA MTUPU WAZEE WANASAKATA MDUNDO



Kama kawaida ya Malunde1 blog kukukutanisha na wasanii wa nyimbo za asili,leo tunakuweka karibu na msanii Landu Hamis,mwana mama machachari kutoka Bariadi mkoani Simiyu wimbo unaitwa Dunia Mzungumko...Tazama ngoma hii kali sana 



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com