Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAHAMIAJI HARAMU 55 WAMAKATWA WILAYANI MKINGA

ZAIDI yawahamiaji 50 raia kutoka nchini Ethiopia wameka matwa eneo la Duga wilayani
Mkinga mkoani Tanga kwa kosa la kiungia nchini kinyume chasheria.

Wahamiajihao wamekamatwa ndani ya kipindi cha mwezi Desemba mwaka huu kutokanana operesheni ambazozimekuwa zikiendeshwa na Idara ya Uhamiaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisiya kuhakikisha wanazibiti wimbi la uingiaji huo.

Hayoyalisemwa jana na Ofisa Uhamiaji wa Mkoa wa Tanga DCI, Crispian Ngonyani wakatiakizungumza ofisi kwake ambapo alisema wahamiaji hao hivi sasawanaendelea na kesi zao zinazowakabili kutokana na kuingia nchinikinyume na utaratibu uliopo.

Alisemahatuaya kukamatwa kwa wahamiaji haramu hao inatokana na kuwepo kwa misako yakushtukiza katika maeneo mbalimbali hasa ya mipakani mkoani hapa ambapowahamiaji hao wamekuwa wakitumia kama njia yakuingilia.

“Sisi kamaUhamiaji mkoani Tanga tumejipanga vizuri kuhakikisha wimbi la wahamiaji haramuhawaingii kutokana na doria ambazo tumekuwa tukizifanya mara kwa mara lakini
kubwa zaidi ni kuwepo kwa vituo eneo la mipakani hususani Horohoro
Alisema.Aidhaalisema pia ili kuhakikisha suala hilo linazibitiwa kwa vitendo tayariwamekwisha kuweka kituo eneo la Vijinga wilayani Mkinga kwa kushirikiana naJeshi la Polisi wanakagua magari ambayo yamekuwa yakitokea nchiniJirani ya Kenya ilikuweza kubaini iwapo wahamiaji haramu wamebebwa.

Hata hivyoalisema kuelekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya wamejiandaa vizuri kuwezakukabiliana na wimbi la wahamiaji haramu wanaoweza kuingia mkoani hapa kwa
kuendelea operesheni kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo nyumba za kulala wageni
na kwenye hoteli.

“Licha yakuendelea na operesheni hizo lakini nisema idadi ya wahamiaji haramu wanaoingiamkoani Tanga kwa sasa imepungua kwa sababu wakiwakamata wanawapeleka
mahakamani pamoja na mawakala wao"Alisem
AfisaUhamiaji huyo alisema lakini bado tunaendelea kuhakikisha ina komakabisa kwa kuwachukulia hatua kali na watanzania ambao watabainikawanashirikiana nao kuwaingia mkoani hapa(Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com