Mwili wa Athumani Hamisi Msengi unatarajia kuzikwa hapo kesho Januari 5, 2018 baada ya Swala ya Ijumaa na Maziko yatafanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Sinza Madukani Mtaa wa Weruweru (Njia ya Namnani Hotel nyumba na 26).
Marehemu Athumani Hamisi amefariki asubuhi ya leo Januari 4,2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikofikishwa kwa matibabu baada ya kuzidiwa ghafla usiku akiwa nyumbani kwake.
Social Plugin