WAZIRI UMMY AKABIDHI MIFUKO 200 YA SARUJI KWA SHULE YA SEKONDARI MAWENI


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga katikati akipokea cheti cha kutambua mchango wake kusaidia maendeleo ya Jiji la  Tanga kutoka kwa Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi kushoto ni Diwani wa Kata ya Maweni,Joseph Calvas 
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi kulia akimkabidhi cheti  cha kutambua mchango wao katika kuinua sekta ya elimu kwenye Kata ya  Maweni Diwani wa Kata hiyo kushoto Joseph Calvas 

Sehemu ya mifuko ya saruji iliyotolewa na waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga 
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi katika akimshukuru Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na  Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga kulia kwa kusapoti elimu katika  Jijini hilo baada ya kupokea mifuko 200 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Maweni 
Afisa Elimu  Sekondari Jiji la Tanga,Lusajo Gwakisa akizungumza na waandishi wa habari ambapo walimshukuru WAZIRI
wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na  Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga kulia kwa kusapoti elimu katika  Jijini hilo baada ya kupokea mifuko 200 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Maweni 
Waziri  wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga akichimba  msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa kwenye shule ya sekondari ya Maweni Jijini Tanga wakati alipokwenda kushiriki Msaragambo na 
kukabidhi mifuko 200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo 
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akichimba mtaro huo kwa  ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari  Maweni Jijini Tanga jana ambapo Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga alipokwenda kushiriki msaragambo na kukabidhi mifuko
200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na
Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga akichimba  msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu kwenye shule ya sekondari ya Maweni  Jijini Tanga wakati alipokwenda kushiriki msaragambo na kukabidhi mifuko
200 kwa ajili ya kusaidia ujenzi huo 
Waziri wa Afya, Maendeleo  ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu 
mkoa wa Tanga akisaini kitabu cha wageni katika shule ya Sekondari  Maweni Jijini Tanga katikati Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Ramadhani Posi
Waziri wa Afya, Maendeleo  ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu 
mkoa wa Tanga akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Ramadhani Posi
Waziri wa Afya, Maendeleo  ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu 
mkoa wa Tanga akipiga picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari  Maweni Jijini Tanga 
Waziri wa Afya, Maendeleo  ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu 
mkoa wa Tanga katikati akiteta jambo na Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari Maweni Zawadi Ponera kulia 
Waziri wa Afya, Maendeleo  ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu 
mkoa wa Tanga akitembelea maeneo mbalimbali katika shule hiyo kushoto ni diwani wa Kata ya Maweni,Joseph Calvas na kulia ni Mwalimu Mkuu wa  shule hiyo Zawadi Ponera
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu  mkoa wa Tanga akimsikiliza kwa umakini Mstahiki Meya wa Jiji la 
Tanga,Alhaji Mustapha Selebosi kulia ni Kaimu Mhandisi wa Jiji la Tanga Mussa Mkomola (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post