LOWASSA, SUMAYE WATINGA MAHAKAMANI KUSHUHUDIA KESI YA VIGOGO WA CHADEMA
Thursday, March 29, 2018
Mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye amehudhuria katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kufuatilia hatma ya kesi ya viongozi 6 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe kama watapata dhamana au wataendelea kusota rumande.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin