Wimbo Mpya : MTEMI NG'WANA KANG'WA - KARIBU DUNIANI
Sunday, June 10, 2018
Kama kawaida ya Malunde1 blog kukusogezea ngoma za asili ,Tayari tunao hapa wimbo mpya mwaka 2018 kutoka kwa Gwiji wa nyimbo za asili Mtemi 'Ng'wana Kang'wa' kutoka Kahama mkoani Shinyanga unaitwa Karibu Duniani.
Tunakualika kusikiliza wimbo huu hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin