Picha : WACHEZAJI WA SHYTOWN VETERANS WAKIWA KATIKA UWANJA WA POLISI KAMBARAGE SHINYANGA
Thursday, March 29, 2018
Wachezaji wa Klabu ya Shytown Veterans ' Shytown Veterans Sports Club' ya mkoa wa Shinyanga wakiwa katika uwanja wa polisi Kambarage mjini kabla ya kuanza mazoezi ya kawaida mwishoni mwa wiki iliyopita.
Klabu hiyo ya wachezaji wa zamani wa mpira wa miguu inaongozwa na mwenyekiti wao Christopher Msigwa na katibu Mohamed Katoto.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin