Video Mpya : JUMA MARCO - UTAPELI....NGOMA KALI YA ASILI
Sunday, June 10, 2018
Nakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Juma Marco"Ng'wana Ester" kutoka Kashishi Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Utapeli..Video hii imeongozwa na Gooder / Mong kutoka studio za Asili Yetu Africa za jijini Mwanza.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin