Video mpya : KISIMA 'NYANDA MAJABALA' - JANETH....NGOMA KALI BALAA
Saturday, April 14, 2018
Kutoka mkoani Simiyu ninayo hapa ngoma mpya ya Msanii Kisima'Nyanda Majabala',wimbo unaitwa Janeth. Video hii inapatikana katika Albam yake mpya mwaka 2018 aliyoipa jina la Maisha. Video imetengenezwa katika Studio za Makula.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin