Basi la Sabena
Mfanyabiashara anayefahamika kwa jina la Sultan Ahmed au maarufu Chapa mmiliki wa kampuni ya mabasi ya HBS na Sabena amejipiga risasi mdomoni na risasi kutokea nyuma kichwani 'kisogoni'.
Tukio hilo limetokea leo Jumatano Aprili 11,2018 saa tatu asubuhi ambapo mfanyabiashara huyo mwenye asili ya kiarabu ambaye ni lakini pÃa ni mmiliki wa kituo kikubwa cha uuzaji wa mafuta ya petroli wilayani Sikonge amejipiga risasi akiwa nyumbani kwake huko wilayani Sikonge mkoani Tabora.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora SACP Wilbroad Mutafungwa amethibitisha tukio hilo na kwamba wanafanya uchunguzi juu ya mauaji hayo.
Na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora SACP Wilbroad Mutafungwa amethibitisha tukio hilo na kwamba wanafanya uchunguzi juu ya mauaji hayo.
Na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Social Plugin