Afisa Utawala Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda Bwana Kisuze Edward amesimamishwa kazi baada ya picha yake akimnyonya mwanafunzi Racheal Njorogi sehemu za siri kusambaa mitandaoni
Racheal anadai aliwasili chuoni hapo kufuatilia taarifa zake za usajili ambapo alikutana na usumbufu mkubwa na baadaye alipopata nafasi ya kuingia ofisini kwa Msajili, alishangaa ghafla Afisa huyo akimvamia na kuanza kumnyonya matiti kisha sehemu zake za siri na alishindwa kumdhibiti kutokana na kumzidi nguvu.
Kwa mujibu wa maelezo ya Racheal, anasema alilazimika kupiga picha (selfie) wakati tukio hilo likiendelea ili picha hiyo itumike kama ushahidi pindi atakapoenda kuripoti polisi
Tukio hilo limejiri ikiwa ni siku chache baada ya Rais Yoweri Kaguta Museveni kukemea vitendo vya ngono kwa njia ya mdomo.
Social Plugin