Taifa la Afrika Kusini linaendelea kuomboleza kifo cha Winnie Mandela aliyewahi kuwa mke wa Rais wa Kwanza Mweusi wa Taifa hilo Nelson Mandela.
Winnie alifariki April 2, 2018 nyumbani kwake jijini Johannesberg na jana April 11, 2018taifa hilo lilifanya shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wake, na atazikwa April 14, 2018.
Social Plugin